Ufafanuzi wa patapotea katika Kiswahili

patapotea

nominoPlural patapotea

  • 1

    hali ya kubahatisha.

    ‘Biashara hii ni patapotea, sijaiona faida yake waziwazi’

Matamshi

patapotea

/patapɔtɛa/