Ufafanuzi msingi wa patasi katika Kiswahili

: patasi1patasi2

patasi1

nominoPlural patasi

  • 1

    chombo cha chuma kilicho bapa, agh. chenye mpini wa mti na mbele kina makali, hutumiwa kutobolea mashimo kwenye mbao.

    juba, churusi, balari, turusi

Matamshi

patasi

/patasi/

Ufafanuzi msingi wa patasi katika Kiswahili

: patasi1patasi2

patasi2

nominoPlural patasi

  • 1

    dawa inayofanana na chumvi ya mawe au shabu inayotumika kwa maumivu ya tumbo na kichwa.

Matamshi

patasi

/patasi/