Ufafanuzi msingi wa patiliza katika Kiswahili

: patiliza1patiliza2patiliza3

patiliza1

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~ika, ~isha, ~wa

 • 1

  zingirisha au zungusha mwilini.

  zongomeza

Matamshi

patiliza

/patiliza/

Ufafanuzi msingi wa patiliza katika Kiswahili

: patiliza1patiliza2patiliza3

patiliza2

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~ika, ~isha, ~wa

 • 1

  tia maanani.

  ‘Ukimpatiliza utagombana naye’
  shughulikia

Matamshi

patiliza

/patiliza/

Ufafanuzi msingi wa patiliza katika Kiswahili

: patiliza1patiliza2patiliza3

patiliza3

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~ika, ~isha, ~wa

Matamshi

patiliza

/patiliza/