Ufafanuzi wa pato katika Kiswahili

pato

nominoPlural mapato

  • 1

    kitu kinachopatikana, hasa baada ya kazi au biashara.

    chumo, mapato

Matamshi

pato

/patɔ/