Ufafanuzi wa paza katika Kiswahili

paza

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

  • 1

    fanya iende juu; sababisha ipae juu.

Matamshi

paza

/paza/