Ufafanuzi wa pecha katika Kiswahili

pecha

kitenzi sielekezi

  • 1

    enda kama mwenye kilema cha mguu; enda upandeupande.

    guchia, chechemea, dengua

Matamshi

pecha

/pɛtʃa/