Ufafanuzi wa pekechua katika Kiswahili

pekechua

kitenzi elekezi

  • 1

    tafuta kitu kwa bidii sana.

Matamshi

pekechua

/pɛkɛtʃuwa/