Ufafanuzi wa pekenyua katika Kiswahili

pekenyua

kitenzi elekezi

  • 1

    tenganisha vitu vilivyo pamoja ili kupata nafasi ndogo ya kupitishia kitu.

Matamshi

pekenyua

/pɛkɛɲuwa/