Ufafanuzi wa peketeka katika Kiswahili

peketeka

kitenzi sielekezi

  • 1

    haribika kwa ubora na tabia.

    ‘Embe limepeketeka’
    ‘Mtoto amepeketeka’
    haribika

Matamshi

peketeka

/pɛkɛtɛka/