Ufafanuzi wa peku katika Kiswahili

peku

nomino

  • 1

    ungo wa zamani uliokwisha kuharibika; ungo mkuukuu.

Matamshi

peku

/pɛku/