Ufafanuzi wa pelele katika Kiswahili

pelele

nominoPlural pelele

  • 1

    mnyama mdogo afananaye na sungura lakini mwembamba kidogo na anayeishi kwenye mapango ya majabali.

Matamshi

pelele

/pɛlɛlɛ/