Ufafanuzi wa pelezi katika Kiswahili

pelezi

nominoPlural mapelezi

  • 1

    pengo k.v. katika kisu, wembe au panga.

Matamshi

pelezi

/pɛlɛzi/