Ufafanuzi wa pemba katika Kiswahili

pemba

kitenzi elekezi~ana, ~ea, ~eana, ~eka, ~ewa, ~eza, ~wa

  • 1

    laghai kwa maneno ili kupata kitu.

    pembeja

  • 2

    dadisi mtu kwa hekima.

Matamshi

pemba

/pɛmba/