Ufafanuzi wa pembekali katika Kiswahili

pembekali

nominoPlural pembekali

Hesabu
  • 1

    Hesabu
    umbo lenye pembe iliyo na digrii pungufu ya 90.

Matamshi

pembekali

/pɛmbɛkali/