Ufafanuzi wa pembetatu mraba katika Kiswahili

pembetatu mraba

nominoPlural pembetatu mraba

Hesabu
  • 1

    Hesabu
    umbo lenye mistari mitatu ambalo mistari yake miwili hukutana katika ncha yenye digrii 90.

Matamshi

pembetatu mraba

/pɛmbɛtatu mraba/