Ufafanuzi wa pembua katika Kiswahili

pembua

kitenzi elekezi

  • 1

    tenganisha k.v. mchele na chuya kwa kutumia chombo k.v. ungo.

Matamshi

pembua

/pɛmbuwa/