Ufafanuzi msingi wa penda katika Kiswahili

: penda1penda2

penda1

kitenzi elekezi

 • 1

  ingiwa moyoni na kitu au mtu kutokana na kuvutwa na uzuri wake.

 • 2

  ‘Amefanya haya kwa kupenda kwake’
  enzi

Ufafanuzi msingi wa penda katika Kiswahili

: penda1penda2

penda2

kitenzi elekezi

 • 1

  kata shauri kufanya jambo kwa kuridhika mwenyewe.

Matamshi

penda

/pɛnda/