Ufafanuzi wa pendeka katika Kiswahili

pendeka

kitenzi sielekezi~eza

  • 1

    kuwa na hali ya kupendwa na wengine.

Matamshi

pendeka

/pɛndɛka/