Ufafanuzi wa pendekeza katika Kiswahili

pendekeza

kitenzi elekezi~ea, ~eana, ~eka, ~ewa, ~wa

  • 1

    toa rai au wazo, agh. kwenye majadiliano au mkutano, ili walioko walizungumzie na kulitolea uamuzi.

Matamshi

pendekeza

/pɛndɛkɛza/