Ufafanuzi wa pendeza katika Kiswahili

pendeza

kitenzi sielekezi~ea, ~eana, ~eka, ~esha, ~ewa, ~wa

 • 1

  fanya kuwa zuri.

 • 2

  vutia kwa uzuri.

  vutia, chukua

 • 3

  ‘Nguo imempendeza’
  furahisha, tamia, faa, afiki, agia, kaa

Matamshi

pendeza

/pɛndɛza/