Ufafanuzi wa pendo katika Kiswahili

pendo

nominoPlural mapendo

  • 1

    hali ya kuvutwa na kuingiwa moyoni na kitu au mtu.

    penzi

Matamshi

pendo

/pɛndɔ/