Ufafanuzi wa penyeza katika Kiswahili

penyeza

kitenzi elekezi~ea, ~eana, ~eka, ~ewa, ~wa

  • 1

    lazimisha kitu kiingie mahali penye uwazi mdogo.

    ‘Alipenyeza karatasi mlangoni’

Matamshi

penyeza

/pɛɲɛza/