Ufafanuzi wa peperuka katika Kiswahili

peperuka

kitenzi sielekezi~ia

  • 1

    chukuliwa au rushwa na upepo.

    ‘Mbegu zinapeperuka hewani’

  • 2

    punga tanga katika upepo baada ya kufungua kamba ya demani.

Matamshi

peperuka

/pɛpɛruka/