Ufafanuzi wa peperusha katika Kiswahili

peperusha

kitenzi elekezi

 • 1

  achia kitu hewani ili kisukumwe mbali kwa upepo.

 • 2

  peleka habari, agh. kwa njia ya mawimbi.

  ‘Peperusha salamu redioni’

 • 3

  yumbishayumbisha k.v. chombo baharini.

Matamshi

peperusha

/pɛpɛru∫a/