Ufafanuzi msingi wa pepeta katika Kiswahili

: pepeta1pepeta2

pepeta1

nomino

  • 1

    punje za mpunga mbichi zilizokaangwa na kupondwa.

Matamshi

pepeta

/pɛpɛta/

Ufafanuzi msingi wa pepeta katika Kiswahili

: pepeta1pepeta2

pepeta2 , peta

kitenzi elekezi

  • 1

    rusharusha nafaka katika kitunga au ungo ili kuondoa makapi na takataka.

Matamshi

pepeta

/pɛpɛta/