Ufafanuzi wa pepezi katika Kiswahili

pepezi

nominoPlural pepezi

  • 1

    upepo mwanana upepeao sehemu za mlimani.

Matamshi

pepezi

/pɛpɛzi/