Ufafanuzi msingi wa pepo katika Kiswahili

: pepo1pepo2

pepo1

nominoPlural pepo

 • 1

  kiumbe anayedhaniwa ameumbwa kwa moto na ambaye haonekani kwa macho.

  shetani, mzuka

Matamshi

pepo

/pɛpɔ/

Ufafanuzi msingi wa pepo katika Kiswahili

: pepo1pepo2

pepo2

nominoPlural pepo

Kidini
 • 1

  Kidini
  mahali patukufu ambapo panaaminiwa kuwa waumini wanaofuata amri za Mwenyezi Mungu na kuacha makatazo yake wataishi kwa raha baada ya kufufuliwa na kulipwa matendo yao.

  firdausi, Edeni, janna, paradiso

Matamshi

pepo

/pɛpɔ/