Ufafanuzi wa pera katika Kiswahili

pera

nomino

  • 1

    tunda dogo lenye ngozi laini na tumba ngumu ndogondogo zilizozungukwa na nyamanyama, hupendwa sana kuliwa na shore.

Asili

Kre

Matamshi

pera

/pɛra/