Ufafanuzi wa perege katika Kiswahili

perege

nomino

  • 1

    samaki wa maji baridi anayefanana na changu.

Matamshi

perege

/pɛrɛgɛ/