Ufafanuzi wa peremende katika Kiswahili

peremende

nominoPlural peremende

  • 1

    kilaji kitamu kilichotengenezwa k.v. kwa sukari, maji ya matunda au chokoleti pamoja na rangi na kufanywa vibongevibonge.

    pipi, lawalawa

Asili

Kng

Matamshi

peremende

/pɛrɛmɛndɛ/