Ufafanuzi wa pesheni katika Kiswahili

pesheni

nominoPlural mapesheni

  • 1

    tunda la mmea unaotambaa ambalo ndani lina mbegu nyingi nyeusi na nyama ya nyuzinyuzi, agh. hutumiwa kutengenezea juisi.

    karakara

Asili

Kng

Matamshi

pesheni

/pɛ∫ɛni/