Ufafanuzi msingi wa peta katika Kiswahili

: peta1peta2peta3

peta1

kitenzi elekezi

 • 1

  ‘Peta mguu’
  pinda
  and → kunja
  ‘Peta hinzirani’

Matamshi

peta

/pɛta/

Ufafanuzi msingi wa peta katika Kiswahili

: peta1peta2peta3

peta2

nomino

 • 1

  kikonyo cha maua ya karafuu.

Matamshi

peta

/pɛta/

Ufafanuzi msingi wa peta katika Kiswahili

: peta1peta2peta3

peta3

kitenzi elekezi

Matamshi

peta

/pɛta/