Ufafanuzi wa pete katika Kiswahili

pete

nominoPlural pete

  • 1

    pambo, agh. duara, linalotengenezwa kwa madini, linalovaliwa kidoleni.

  • 2

    tundu kubwa linalotogwa sikioni mwa mwanamke ili kutilia pambo la karatasi.

  • 3

    pambo la karatasi linalotiwa katika matundu makubwa ya sikioni mwa mwanamke.

Matamshi

pete

/pɛtɛ/