Ufafanuzi wa picha katika Kiswahili

picha

nominoPlural picha

  • 1

    umbo la kitu au mtu lililoandikwa, kuchorwa au kupigwa chapa.

  • 2

    taswira ya mtu au kitu inayopatikana kutokana na kuvutwa kwa kivuli cha kitu hicho kwa kutumia kamera.

    filamu, kielezo

Asili

Kng

Matamshi

picha

/pitʃa/