Ufafanuzi wa pichi katika Kiswahili

pichi

nominoPlural pichi

  • 1

    tunda la rangi ya manjano au nyekundu lenye nyama na kokwa kubwa.

Asili

Kng

Matamshi

pichi

/pitʃi/