Ufafanuzi wa Piga chenga katika Kiswahili

Piga chenga

  • 1

    hepa ili kupata nafasi ya kupita, agh. katika mchezo wa mpira.