Ufafanuzi wa Piga kidoko katika Kiswahili

Piga kidoko

msemo

  • 1

    toa sauti kwa kualisha ulimi na mdomo.