Ufafanuzi wa Piga mtondoo katika Kiswahili

Piga mtondoo

msemo

  • 1

    njia ya kutoa maji katika chombo kinachokufa maji, agh. ngalawa, kwa kukivuta omo na tezi.