Ufafanuzi wa Piga mwangele katika Kiswahili

Piga mwangele

nahau

  • 1

    fanya mtu awe katika hali ya wasiwasi asijue analofanya.