Ufafanuzi wa pigo katika Kiswahili

pigo

nominoPlural mapigo

  • 1

    tendo la kukutanisha vitu, agh. viwili, kwa kugota, kugonga au kuchapa.

Matamshi

pigo

/pigɔ/