Ufafanuzi wa pijini katika Kiswahili

pijini

nominoPlural pijini

  • 1

    lugha iliyorahisishwa ambayo hutumiwa kuwaunganisha wazungumzaji wenye lugha tofauti, agh. lugha hii huwa haina msamiati ulio na mashiko.

Asili

Kng

Matamshi

pijini

/piʄini/