Ufafanuzi wa pika katika Kiswahili

pika

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

  • 1

    weka chakula katika chombo k.v. sufuria au chungu na kukiweka juu ya moto mpaka kiive.

    ‘Fulani ni hodari kwa kupika’

Matamshi

pika

/pika/