Ufafanuzi wa pilau katika Kiswahili

pilau

nominoPlural pilau

  • 1

    wali uliopikwa kwa kuchanganya viungo k.v. mdalasini, iliki, pilipilimanga, bizari nyembamba pamoja na kitoweo k.v. nyama au samaki.

Asili

Kaj

Matamshi

pilau

/pilawu/