Ufafanuzi wa pilipili katika Kiswahili

pilipili

nominoPlural pilipili

  • 1

    tunda refu au la mviringo lenye rangi ya kijani, nyekundu au manjano, agh. huwasha na hutumiwa kuwa ni kiungo cha chakula au kitoweo.

    methali ‘Pilipili usiyoila yakuwashiani?’
    methali ‘Pilipili iko shamba yakuwashiani?’
    basbasi

Matamshi

pilipili

/pilipili/