Ufafanuzi wa pilipili hoho katika Kiswahili

pilipili hoho

  • 1

    pilipili ndogo sana ya rangi ya kijani ikiwa mbichi, nyekundu ikikomaa na inawasha sana.