Ufafanuzi wa pilipili tamu/boga katika Kiswahili

pilipili tamu/boga

  • 1

    pilipili kubwa inayotumika kuwa ni mboga, agh. ina rangi ya kijani, nyekundu au manjano na haiwashi.