Ufafanuzi wa pindo katika Kiswahili

pindo

nominoPlural mapindo

  • 1

    sehemu ya ukingo wa kitu k.v. nguo iliyokunjwa.

    ‘Pindo jembamba’
    ‘Pindo nene’
    kota, kikombo, tao

Matamshi

pindo

/pindɔ/