Ufafanuzi wa pindukia katika Kiswahili

pindukia

kielezi

  • 1

    zidi kipimo.

    ‘Jamaa huyu anakunywa pombe kupindukia’
    kithiri

Matamshi

pindukia

/pindukija/