Ufafanuzi wa pinduliwa katika Kiswahili

pinduliwa

kitenzi sielekezi

  • 1

    ondolewa madarakani k.v. ya Urais kwa kulazimishwa, agh. na jeshi.

  • 2

    nyang’anywa mchumba, mke, mume au rafiki na mtu mwingine.

Matamshi

pinduliwa

/pinduliwa/