Ufafanuzi wa pingu katika Kiswahili

pingu

nominoPlural pingu

  • 1

    kitu cha duara kilichotengenezwa, agh. kwa chuma, kwa madhumuni ya kufungia wahalifu mikononi.

    kikuku

  • 2

    kipande cha kamba cha duara ambacho hutumiwa na wakwezi kwa kukishikia miguu na mnazi wanapopanda.

Matamshi

pingu

/pingu/